Buy more »

Taarifa za Bidhaa

Jina la Bidhaa: Moisturizing Repair Hand Cream

Kiungo Kikuu: Vitamin C Amino Acid

Sifa Kuu:

  • Husaidia kung’arisha ngozi na kuifanya ionekane ang’avu
  • Huweka unyevunyevu wa muda mrefu na kuondoa ukavu wa ngozi
  • Hulisha ngozi kwa virutubisho muhimu kwa afya ya ngozi
  • Hurekebisha ngozi iliyochoka au iliyoharibika
  • Hufyonzwa haraka bila kuacha mafuta
  • Inafaa kujipaka mikono na mwili mzima ikiwemo miguu, magoti, viwiko na shingo

Maelezo ya Bidhaa:

Moisturizing Repair Hand Cream ni krimu ya ubora wa juu inayofaa kwa matumizi ya kila siku. Ingawa imetengenezwa kwa ajili ya mikono, krimu hii inaweza pia kujipaka mwili mzima. Ina Vitamin C Amino Acid inayosaidia kurejesha afya ya ngozi, kuifanya iwe laini, yenye unyevunyevu na mwonekano mzuri. Ni rafiki kwa ngozi na inafaa kwa wanaume na wanawake.

Namna ya Matumizi:

Paka kiasi kinachokufaa cha krimu kwenye mikono au sehemu yoyote ya mwili, kisha masaji taratibu hadi ifyonzwe kabisa. Tumia kila siku au mara nyingi unavyohitaji kwa matokeo bora.

Aina ya Bidhaa: Krimu (Cream)

Uzito Halisi: 30g

MOQ (Kiwango cha Chini cha Kuagiza): Vipande 384

Inafaa kwa matumizi ya kila siku na unaweza kuitumia kwenye mwili mzima kwa ngozi laini, yenye unyevunyevu na afya.
Wasiliana na Anatory Super Enterprises kwa huduma ya haraka: 0755 267 700

Bei: TSH 600   Sasa: TSH 300 (Punguzo la 50%)

Ununuzi wa Chini Kabisa (MOQ): pcs 100

price/$ 0.12 price $ 0.24off/-50% MOQ 1